Picha: Nuh Mziwanda ajichora tattoo yenye sura ya Shilole

Msanii Nuh Mziwanda amezidi kuonyesha kuwa hajali maneno ya watu wanayosema kuhusu yeye na mpenzi wake ambaye ni msanii mwenzake Shilole ameongeza tattoo nyingine kwenye mkono wake, tattoo hiyo ina picha ya Shilole.


Mziwanda alionyesha mchoro huo kwenye kipindi cha Friday Night Live siku ya Ijumaa.



Kupiti ukurasa wake wa instgram mpenzi a Nuh Mziwanda Shilole aliandika hivi
Asante kwa kunifanya kua special girl katika maisha yako.ooooh ma God ma face on your hand.its crazy baby.love u so much.Mungu akujalie maisha marefu uzidi kunipa raha mie.
Previous Post Next Post