Picha: Mchumba wa Ney wa Mitego 'Siwema' apata mtoto wa Kiume

Mchumba wa rapper Nay wa Mitego, Siwema amejifungua mtoto wa kiume jana ambapo pia ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa mama wa msanii huyo.


Ney akiwa na Furaha Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nay ameandika


:Ooooooh my goooooood!!!! Leo ni cku ya kuzaliwa mama angu mzazi,,, tukiwa 2nakata cake napigiwa cm nimepata mtoto wakiume… yani kazaliwa cku 1 na bibi yake,,! Hao apo wamezaliwa leo… Asante Mungu.. Asante


Bongo61 Team Wanampa Ongera Ney Wa Mitego kwa Kuitwa Baba
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa