Picha: Kivazi cha Kim Kardashian kilicho muacha Hoi Kanye West

Mama North West ambaye ni mke wa Rapper Kanye West Kim Kardashian  mwenye miaka 33 aliamua kuwapa watazamaji show ya bure ya mgongo wake baada ya kuvaa kitop kilichoziba sehemu za mbele tu lakini nyuma kikamwaga radhi. 


Picha Kanye West akimuangalia Mke wake kwa Nyuma

Pengine maana ya kuvaa vazi hilo ni kumpa mumewe nafasi nzuri ya kuona mgongo wa mke wake kwakuwa mara nyingi Kanye alikuwa nyuma kuushuhudia bila kujali macho ya watu wengine.tukio hilo lilitokea wakati wawili hao  wakikatiza mitaa ya jiji la Los Angeles 

Tazama picha zaid hapa ...









Previous Post Next Post