Picha: Fid Q na Young Killer waingia mtaani kushoot video ya ‘13’

Wakati video ya ‘Umebadilika’ ikiwa njia kutoka, Young anaandaa silaha nyingine tena aliyomshirikisha kaka yake kimuziki, Fareed Kubanda aka Fid Q. Japo wawili hao hawajasema chochote kuhusiana na video hiyo, inaonekana kuwa inaongozwa na Nisher. Balaa linakuja!!


Young Killer akiwa na Fid Q

Young Killer akiozungumza jambo na Director Nisher
Previous Post Next Post