D’Banj awa balozi wa Apple/Beats By Dre wa Afrika, kuja na earphone zake

Mwanamuziki D’Banj wa Nigeria amekula shavu la kuwa balozi wa Apple/Beats By Dre wa Afrika.
Apple/Beats By Dre imetangaza kuwa imesaini mkataba na mwanamuziki huyo kuwa balozi wa brand yao.


 


Licha ya kuwa balozi D’Banj pia atapata earphones zake (customized earphones) zitakazozinduliwa December,2014.

Kupitia Instagram D’Banj pia aliandika:

Previous Post Next Post