Music: Khalid Chokoraa Ft. Msaga Sumu – Maneno

Msanii Khalid Chokoraa ambaye ni member wa band ya Mapacha Watau na pia ni bondia wa kulipwa anakuletea wimbo wake mpya unaitwa “Maneno” amemshirikisha mzee wa Kigodoro a.k.a Msaga Sumu. Wimbo umefanyika katika Studio za Rubby Production



Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA