Picha: Ay aanza kushoot video ya pili Nchini Marekani, baada ya video ya kwanza kumalizika

Baada ya kushoot video ya kwanza nchini Marekani ya wimbo aliomshirikisha Sean Kingston, leo rapper AY anashoot video ya pili.



AY amesema video anayoshoot leo ni ya wimbo wake ‘It’s Goig Down’ aliowashirikisha Ms Triniti na Lamyia Good. “Na-shoot ‘It’s Goin Down’ leo kila kitu kinaenda sawa na director ni Tim Burton and Chris Mckehnie,”




 Image Credit:Bongo5
Previous Post Next Post