Hermy B awataja waandishi bora Tanzania katika Tasnia ya Muziki

CEO na Producer wa B’Hits Music Group, Hermy B, amewataja Fareed Kubanda aka Fid, Joseph Haule aka Professor Jay na Hamis Mwinjuma aka Mwana FA kuwa ndio waandishi bora wa mashairi Tanzania.


Hermy aliwataja rappers hao kwenye kipindi cha Mkasi baada ya kuulizwa na Salama Jabir ni wasanii gani anaowakubali zaidi kwa uandishi wao. Mtazame hapo juu akieleza kwanini anawakubali.
Previous Post Next Post

Popular Items