Nicki Minaj na boyfriend wake wadaiwa kumwagana

Mahusiano ya rapper Nicki Minaj na mpenzi wake Safaree Sam ambaye alikuwa amejichora tattoo yenye picha ya Nicki na jina lake pia.


Wiki hii, Safaree ameonekana akiwa kifua wazi huku akiwa ameifunika tattoo ya picha ya Nicki na jina lake kwa michoro mingine. Tattoo nyingine aliyokuwa ameichora mkononi mwake inaonekana pia ikiwa imefifia sana ikiashiria kufutwa.



Hali hii imechochea tetesi zilizoanza kusambaa kuwa wamepigana chini hasa baada ya Nicki Minaj kutweet, “Single and Ready to mingle.”



Tweet ambayo kwa mujibu wa Urban Islandz haikuwa na kwa ajili ya uhusiano wake bali alikuwa anazungumzia muziki wake kuwa anayo nafasi zaidi kwa mashabiki wake wa kiume.

Inasemakana huenda Nicki hakutaka attention kama alivyofanya boyfriend wake huyo kujichora picha yake na ndio sababu ameamua kuifuta.
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa