Picha: Jay Z akiwa na Familia yake Ufaransa katika mapumziko

Jay Z na Beyonce wameendelea kuzipoteza tetesi za kuwa ndoa yao ipo kwenye mawe, kwa kuendelea na vekesheni na mtoto wao, Blue Ivy.Wanandoa hao walimpeleka mtoto wao kwenye makumbusho ya Louvre jijini Paris na kupiga picha kadhaa, bila kusahau selfies.


Tazama picha hapa...











Previous Post Next Post

Popular Items