Music: Sugu & Professor Jay – Makamanda

Chukua muda wako kusikiliza wimbo mpya kutoka kwa wakongwe wawili ambao ni Sugu na Professor Jay wimbo huu ni katika kuihamasisha jamii ya ki TANZANIA kuhusu hali ya sasa na Uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015. Wimbo unaitwa “Makamanda” umefanywa Mwanalizombe Records chini ya Producer Villy.


Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa