Nick Minaj: Sijawahi kujiusishaki kimapenzi na Lil Wayne na Drake

Mwimbaji Machahali na mwenye jina kunako industry ya muziki Marekani na Dunia kwa ujumla Nicki Minaj ameachia rasmi single mpya iitwayo ‘Only’ kama alivyoahidi, ambayo kawashirikisha Chris Brown, Drake na Lil Wayne.

Only ni single ya tatu kutoka kwenye album yake mpya itakayotoka Dec.16, ‘The Pink Print’.



Katika ‘Only’ Minaj amesema hakuwahi kuhusiana kimapenzi na wasanii aliowashirikisha yaani Lil Wayne na Drake katika maisha yake. Mwanzoni kabisa mwa wimbo ame rap:

“I never f*cked Wayne/I never f*cked Drake/ All my life, man, fuck’s sake/ If I did I’d menage with ‘em and let ‘em eat my ass like cupcake.”


Drake na yeye kwenye verse yake amejibu kuwa hakuwahi kutembea na Nicki kwasababu alikuwa na mwanaume wake, “I never f*cked Nicki ’cause she got a man/ But when that’s over I’m first in line…”

Kama aujaidownload ngoma hiyo unaweza fanya hivyo kwa kuingia hapa na kuidownload

Lil Wayne ambaye amefunga verse ya mwisho hakuwa tofauti na Nicki na Drake pia, na yeye amekanusha kuwahi kuhusiana kimapenzi na Nicki kwa kurap,

“I never fucked Nicki/ And that’s fucked up/ If I did fuck she’d be fucked up/ Whoever is hitting ain’t hitting it right/ ‘Cause she acts like she needs d*ck in her life.”

Ushiriki wa Chris Brown katika wimbo huu ni kwenye kiitikio peke yake. ila ujumbe mzima umebebwa na marapper hao kutoka katika kundi la Young Money kwa wale mashabiki waliokuwa wakisema kuwa Nick na Drake ni wapenzi au Nicki na Lil Wayne ni wapenzi basi jibu lik hapa kupitia wimbo huo wa ONLY
Previous Post Next Post