Music: Gosby – Drunk In Love (Remix)

Ni utaratibu wa Rapper Gosby kuachia ngoma mpya kila wiki kutoka kwenye mixtape yake ijayo MissTape. Awamu hii amefanya remix ya wimbo wa Beyonce na Jay Z ‘Drunk In Love’.


Usikilize na kuudwnload hapa...

Previous Post Next Post