Kanye West avutiwa na Papaprazi, Aomba kupiga naye picha kisa T-shirt

Inafahamika wzi kuwa Rapper Kanye West hana urafiki na paparazzi.. na hii ni kutokana na kugombana nao mara kwa mara lakini paparazzi mmoja amemvutia rapper huyo.

Kanye West akiwa na paparazzi ambaye rapper huyo aliyependa t-shirt yake

Akiwa kwenye mitaa ya jiji la New York, Alhamis wiki hii ndani ya taxi, Yeezy aliamua kusimama na kushuka kumpiga picha paparazzi aliyekuwa akimpiga picha kwakuwa alipenda tu t-shirt aliyokuwa

Kanye West akimpiga Paparazi huyo picha

Kanye: T-shirt kali sana hiyo dogo, umenunua wapi?

Kanye pia alipiga picha kadhaa na paparazzi huyo sharobaro. Matokeo ya tukio hilo ni kwamba kampuni inayotengeneza t-shirt hizo imeneemeka baada ya mauzo kuongezeka ghafla.

Kampuni hiyo iitwayo D9 Reserve iliuza zaidi ya t-shirt 300 ambapo kila moja ni dola $135 ndani ya saa chache tangu Kanye afanye uchawi wake!
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa