Diamond Platnumz Miongoni Mwa wasanii Kumi Walioleta Mabadiliko Katika Muziki Afrika

Hit maker wa Mdogo mdogo Diamond Platnumz ametajwa kwenye Orodha ya wasanii Kumi Afrika waliofanya Mabadiliko (Top10 Most Game Changers).



Orodha hiyo imetolewa week hii kwenye Kipindi cha Top10 Chenel O Most kinachoendeshwa na Joketi Mwengelo na Ice Prince kutoka Nigeria, Diamond Platnumz ameshikilia namba 10 pamoja na Fally Ipupa. 

Hii ndio List nzima

1. 2face Idiba
2.Boom Shaka
3.D banj & Don Jazzy
4.K’naan –
5.Banky W & Psquare
6.Dj Jimmyyat & Dj Waxxy
7.Tiwa savage & Wizkid ayo
8.Ice Prince – Nigeria & Naetoc
9.Mafikizoro & Mr. Flavour
10.Diamond Platnumz & Fally Ipupa
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa