Picha: Tarajia kuziona picha hiz kwenye video mpya ya Young Killer 'Umebadilika'

Director Hefemi ndiye anayeshoot video mpya ya Young Killer ft Banana Zorro 'Umebadilika' Kwa namna picha zinavyoonekana, huenda video ya wimbo mpya wa Young Killer ‘Umebadilika’ aliomshirikisha Banana Zorro, inaweza kuwa miongoni mwa video kali za mwaka 2014. Video hiyo ilichukuliwa ndani na pembezoni mwa bahari ya Hindi katika kisiwa cha Mbudya jijini Dar es Salaa. Hizi ni picha zingine za video hiyo itakayotoka hivi karibuni 



Tazama baadhi ya picha alizoshare Rapper Young Killer








Previous Post Next Post