Picha: Baada ya Kim Kardashian kupiga picha za utupu sasa mdogo wake naye apiga picha hizi (+18)

Alianza Kim Kardashian kutoa nguo zake zote, kupose na kupigwa picha za utupu kwaajili ya jarida la GQ ambalo limemtaja mke huyo wa rapper wa Kanye West kama ‘Women of The year’.



Mdogo wa Kim aitwaye Kendall Nicole Jenner mwenye miaka 18 tu naye amefuata nyayo za dada yake, kwa kupigwa picha za utupu na mpiga picha Russell James zitakazowekwa kwenye kitabu cha mpiga picha huyo kiitwacho ‘Angels’.





 Hizi nibaadhi ya picha alizowai kupiga  mdogo wa Kim Kardashian 'Kendall Nicole Jenne' rmwaka 2013



Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA