Picha; Slfie za utupu zilizovuja za Kim Kardashian,Rihanna na Gabrielle Union

Rihanna, Gabrielle Union na Kim Kardashian wameingia rasmi kwenye msululu wa mastaa wa Marekani ambao picha zao za utupu zimevuja mtandaoni.




Mapema Jumapili ya jana picha mbili za utupu za Rihanna zilivuja kwenye mitandao ya 4chan/Reddit. Weekend hii picha za mastaa wengine wakiwemo Kim Kardashian, Vanessa Hudgens, Kate Bosworth na Hope Solo nazo zilivuja.




Naye Muigizaji wa filamu, Gabrielle Union ni mhanga wa uvujaji huo wa picha za faragha na ameazimia kuchukua hatua za kisheria.
Previous Post Next Post

Popular Items