Mmoja wa Wasanii hawa kutoka Marekani kudondoka katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 Dar

Huku kila mmoja akiwa na shauku ni msanii gani atadondoka katika kilele cha Serengeti Fiesta, October 18 mwaka huu, wadhamini wakuu, bia ya Serengeti wametoa orodha ya wasanii tisa ili mashabiki wabashiri ni msanii gani huenda akadondoka mwaka huu. Wengi wamebashiri kuwa ni ni Chris Brown au T.I.


Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Serengeti wamewaorodhesha wasanii sita wa Marekani ambao ni pamoja na Chris Brown, Snoop Dog, Lil Wayne, T.I, Wiz Khalifa na 50 Cent. Hebu tuambie nani kati ya hawa unahisi anadondoka bongo kwenye show Serengeti Fiesta Dar es salaam?, wameuliza.

Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki.

Psteen Nuru
No more than T.I ukiangalia kwa upande wa bei za wasanii hao kwa ssa hyo chriss brown w2 wnamtaja sna lkn ni ngumu ktokana na album yke mpya ilvyo kali dau ltakuw kbwa sna .

Asap Dee
May be TI but u can’t afford Chris he just releases the album last week he got a tight schedule!

Fundi Edson Abel Abel
Daaa Mtu Mzima T.I Ama Nini Akikosa Uyo Adndoke Mkali Wa Afro. Pop _Criss Brown

Cent Tano Boy Tano

Chris Brown.anatisha ile mbaya.wana xxl fanyeni huwo mpango mzima.hata mimi nitatoka shy town.kuja kusambaza upendo nanyi.shikini ni nisheeeeeeedah.au siyo?

Lisabeth Deodatuc
Chris Brown a.k.a breezy babyyyyy..!!! namkubali sana kwanza yupo pote pote rnb & rap hip hop itakuwa nisheeedaaah!!!!!!

Zuberi Kisonga Zuki
Chris brown kila sku swal hlo tutachoka xaxa mleten hyo!!


Maoni yako ni yapi Mdau ....?
Previous Post Next Post