French Montana apigwa chini na mpenzi wake Khloe Kardashian, chanzo kiko hapa


Mdogo wa Kim Kardashian 'Khloe Kardashian' anadaiwa kuwa aliamua kumpiga chini mpenzi wake French Montana mapema mwezi huu baada ya kugundua kuwa alikuwa akimmendea rafiki yake..
 Khole Kardashiana akiwa na French Montana





Khloe na Malika


Kwa mujibu wa mtandao wa Media Take Out, Khloe aligundua kuwa mpenzi wake alikuwa akitumiana ujumbe wa simu kwa siri na rafiki yake Malika Haqq.



French Montana na Malika (kulia)

Chanzo kimoja kiliuambia mtandao huo kuwa Khloe alizigundua sms hizo aliposhika simu yake. Hata hivyo kimesema kuwa urafiki wa Khloe na Malika bado upo palepale na kwamba hakuwa akimpenda Montana kwa dhati.
Previous Post Next Post