Picha: Kill Muic Tour ilivyohitimishwa ndani ya jiji la Dar es salaam

Tamasha la Kili Music Tour 2014 lilifungwa kwa staili ya aina yake katika viwanja vya Leaders Club ambapo wasanii wanaofanya vizuri nchini walilishambulia jukwaa kwa masaa nane mfululizo na kuzikonga nyoyo za maelfu waliojitokeza. Mvua iliyomwagika wakati fulani haikuwa kikwazo kwa mashabiki kuendelea kufurahia burudani na hadi mwisho wengi kuondoka wakiwa wameridhika.




Taama picha hapa...



 




 MALKIA WA MIPASHO HADIJA KOPA

 RICH MAVOKO

 RICH MAVOKO

 VANESSA MDEE AKIFANYA YAKE

 WADAU WAKIFATILIA KWA MAKINI


 OMMY DIMPOZ

 BEN POL

 jAMBO SQUARD

  PROFFESOR JAY

 PROFFESOR JAY


 AY

 Mwana FA

Weusi wakiifunga show ya Kili Music Tour

Maelfu waliojitokeza leaders club wakishangilia baada ya Weusi kufunga rasmi show
Previous Post Next Post