Picha: Gabrielle Union afunga ndoa na Staa wa NBA Dwayane Wade

Muigizaji wa kike wa Hollywood, Gabrielle Union alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu, star wa NBA Dwayane Wade.



Wawili hao walifunga ndoa Jumamosi, August 30, Miami na kufanya sherehe iliyowahusisha wageni wachache ambao walisaini makubalino ya kutoingia na simu ili kuhakikisha hakuna atakaepiga picha bila ruhusa.


Pete yaUchmb aliyovishwa Gabrielle Union na Dwayane Wade

Dwayane Wade na Mpenzi wake Gabrielle Union baada ya harusi yao

 Wakiwa pamoja

Dwayne Wade mwenye umri wa miaka 32 ana watoto wawili wa kiume aliwapata katika ndoa yake ya awali.


Wakitazama gemua ya Basketball
Naye Gabrielle Union aliwahi kuolewa na mwanaume mwingine lakini hana mtoto.


Eneo walilofungia ndoa
Previous Post Next Post

Popular Items