Kundi la Muziki linalokuja kwa Kasi 'Yamoto Band '  Linaloongozwa na Mkubwa Fella limeachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la Niseme, video imefanywa chini ya kampuni ya D360 na video ikiongozwa n director Pablo.
Itazame hapa ....
Itazame hapa ....
