Music: Mary J. Blige- Right Now

Mwimbaji mkongwe wa RnB, Mary J Blige amechia wimbo mwingine mkali kwa ajili ya mashabiki wake. Ni wimbo mzuri wa mapenzi alioupa jina Right Now. Mary J anaongea na mpenzi wake.



Previous Post Next Post

Popular Items

Kenya katika hatari ya kupata Ebola

Picha: Soggy Doggy Aongeza Familia