Nani wataiwakilisha Tanzania katika Mashindano ya CHOAMVA 2014?

Yale Mashindano ya Channel O Africa Video Awards yako njian kuanza, Majina ya wasanii watakaowania tuzo za CHOAMVA 2014 (Channel O Africa Music Video Awards) yatatajwa Alhamis hii September 4.



Mwaka jana AY alikuwa msanii pekee aliyeiwakilisha Tanzania. Mwaka huu kuna uwezekano mkubwa Diamond akatajwa kwenye vipengele kadhaa, ni msanii gani mwingine wa Tanzania unadhani anaweza kutajwa?
Previous Post Next Post