HomeAy Music: AY ft. Ms Triniti & Lamyia – Its Goin Down byNew Jobs Tanzania -Tuesday, September 16, 2014 0 Mzee wa commercial, AY ameachia single yake mpya ya kimataifa ‘Its Going Down’, ambayo amewashirikisha Ms Triniti pamoja na Lamyia. Na hii ni mara ya pili kwa Ay kushirikiana na wasanii hawa wa kike kutoka Marekani. Tags: Ay Music Facebook Twitter