Video: Diamond Platnumz na Davido walivyotoa burudani Uingereza katika show kubwa ya African Unplugged

Staa wa Bongoflava Diamond Platnumz jana (September 14) alishare jukwaa moja na mastaa wa Nigeria Davido na Tiwa Savage katika show kubwa ya ‘African Unplugged’ iliyofanyika kwenye ukumbi wa 02 Academy Brixton jijini London, Uingereza.



Kituo cha televisheni BET International chenye makao yake makuu London, Uingereza walikuwa wakishare matukio (live) ya kilichokuwa kinaendelea jukwaani kupitia akaunti yao ya Instagram @bet_intl


“@diamondplatnumz just hit the stage!!! Tanzania representing at @africaunplugged #London”
Quick message from @diamondplatnumz backstage after his performance. #africaunplugged #London #backstage Davido
Previous Post Next Post