Young Killer aanza kushoot video ya ‘Umebadilika’ na director Hefemi

Ikiwa ni zaidi ya mwezi mmoja toka wimbo wa ‘Umebadilika wa Young Killer Msodoki ulipoachiwa July 22, rapper huyo kutoka jiji la miamba (Rock City) Mwanza ameanza kushoot video ya wimbo huo aliomshirikisha Banana Zorro.



Histry..beybiiii #UMEBADILIKA … Cc @hefemi @mxcarter – Young Killer
Safari hii Msodoki amemkabidhi director Hefemi Mikoba ya kuiongoza video hiyo. Kupitia Instagram rapper huyo wa ‘Dear Gambe’ ameshare picha akiwa location maeneo ya ufukweni na kuandika: #VIDEO With. .my..big brother @hefemi & @mxcarter.
Msodoki na Hefemi wakiwa location


Previous Post Next Post