Yamoto Band ,Sauti Sol na Skylight Band kufanya show ya pamoja dar august 30

Sauti Sol na kundi la wanaume tupu linalofanya vizuri kwa sasa nchini, Yamoto Band, yatakutana kwenye show kali ya pamoja itakayofanyika jijini Dar es Salaam, August 30.


Show hiyo itafanyika kwenye ukumbi wa Escape 1 ambapo makundi hayo yatasindikizwa na Skylight Band na Mirror.
Previous Post Next Post