Video Teaser: Ney wa Mitego kuja hivi katika hii video yake mpya ya Mr Ney

Rapper ney wa Mitego yuko mbioni kuachia video yake mpya ya Mr Ney aliyofanya na Director Kelvin Basco, yule director aliyefanya ngoma ya Prokoto iliyofanywa na Victoria Kimani, Ommy Dimpoz pamoja na Diamond

Katika video hii yake mpya ney wa Mitego anakuja na kitu tofauti machoni kwa mashabiki, unataka kujua ni kitu gani kipya anakuja nacho! tazama video hapa

Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa