Video: Tazama Shilole na Nuh Mziwanda walipokula ‘denda’ live jukwaani

Shilole aka Shishi baby pamoja na baby wake Nuh Mziwanda usiku wa jana katika ukumbi wa Maisha Club kwenye show ya ‘Turn Down For What,’ walifanya kile walichokifanya Jay Z na Beyonce jana hiyo hiyo kwenye tuzo za MTV VMA, yaani kuoneshana upendo hadharani kwa njia ya kula denda (kiss) jukwaani.



 Shilole na Nuh Mziwanda ni miongoni mwa mastaa wa bongo flevah waliokinukisha na kuwapagawisha mashabiki waliofurika kwenye ‘Turn Down For What’, iliyoandaliwa na Diva Wild Events huku mtangazaji wa Ala Za Roho ya Clouds FM, Diva The Bawse ndiye alikuwa host wa show hiyo.
Hizi ni baadhi ya picha za wasanii walitoa burudani katika show hiyo...





Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa