Video Teaser: Usher kuachia video mpya aliyomshirikisha Nick Minaj 'She Came To'

Mwanamuziki na mkali wa R&B Usher yuko mbioni kuachia video yake mpya aliyomshiriksha Hit maker wa Anaconda 'Nick Minaj' katika ngoma aliyoipa jina la 'She Come To' Mbali na burudani alitoa ya kukata na shoka kwenye tuzo za VMAs Usher alituia dakika 30 kuinyesha kionjo cha video hiyo yake aliyompa shavu mwandada Nick Minaj.


Tazama hapa kionjo cha video hiyo mpya ya Usher ft Nick Minaj 'She Come To'


Previous Post Next Post