Video: Jaguar - One Centimeter (Official Video)

Hit Maker wa Kioo baada ya kusambaa kwa picha zinzzomuonyesha akifunga ndoa kanisani na yeye mwenyewe kutoa majibu kuwa ni uji wa video yake mpya ya One Centimeter hatimaye aameachia video hiyo aiyoifanyia nchini South Afrika itazame hapa kwa mara ya kwanza

Tazama hapa

Previous Post Next Post