Music: Sisqo feat. Waka Flocka – A-List

Sisqo ameachia ngoma mpya baada ya kimya cha muda mrefu, iitwayo “A-List” ambayo ameshirikisha rapper Waka Flocka Flame.Album mpya inaitwa Last Dragon na inategemewa kutoka mwaka huu
Previous Post Next Post

Popular Items