Video: Awilo Longomba – Bundelele

Ni baada ya kimya cha muda mrefu mwanamuziki nyota kutoka DRC, Awilo Longomba amerudi tena. Ameachia video mpya ya wimbo uitwao ‘Bundelele’ ambayo imefanyika London, Uingereza. Itazame
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA