TARANGIRE WAFANYA TAFRIJA YA KUMUAGA MARTIN LAIBOKI


DSC 0798 73715
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Elaston Mbwilo (wa pili kulia) akimkabidhi Kamba Ndg. Martin Laiboki kama ishara ya zawadi ya Ng’ombe aliyozawadiwa na Uongozi na Wafanyakazi wa Hifadhi ya Tarangire kwenye hafla ya jioni ya kumuaga baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Uhifadhi na Ekolojia  TANAPA Makao Makuu, awali Ndg. Laiboki alikuwa Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Tarangire.

DSC 0894 7cb8f
Previous Post Next Post