Ujumbe wa H-baba kwa Mke wake Flora Mvungi

Mwanamuziki H-Baba aamua kuonyehs upendo wake kwa mke wake Flora Mvungi na kuamua kummwagia sifa kemkem kupitia mtandao wa Instagram, H-Baba na Flora Mvungi walifunga ndoa na sasa wanamtoto mmoja wa kike.



So kupitia mtandao wa instagram H-baba aliamua kuziirisha upendo wake kwa mke wake huyo mama Tanzaniteone



H-Babab aliandika hivi; 'Kaaa mkao wakula #KIDOGO video iyooo inakuja. Mwanamke Tabia uzuri mwachie #Nguva #florahmvungi #NIMREMBO, ANAJIESHIMU, #ANAIPENDA NDOA YAKE, #ANAMUHESHIMU MUME WAKE, ANATABIA NZURII MPAKA KAPITILIZA #KITABIA. #Penda unapo pendwa usikomae usikopendwa utabakia mifupa Ukipenda uwa penda natabia yake?'

H-baba atapanda jukwaani kesho Mwanza CCM Kirumba na kutoa Burudani kwa wakazi wa Mwanza akiwa na Ile team nzima ya wasanii wenzake wa Serengeti Fiesta


Previous Post Next Post