Picha: Yamoto Band kuachia video ya 'Niseme nisiseme' hivi karibuni, Director Pablo ashare picha za video hiyo

Pablo ambaye ni director wa D360 Videos ameshare picha za video mpya ya Yamoto Band inayotarajiwa kutoka hivi karibuni.


Kupitia ukurasa wake wa Facebook Director Pablo alishare vipande vya picha za muonekano wa video hiyo mpya ya Yamoto band na kuandika 'Coming soon' so! mashabiki wake mkao wa kula kwa video mpya ya Yamoto Band itwayo 'Niseme niseseme'


Tazama picha hizi alizoshare Pablo kutoka kampuni ya D360 Videos..




Previous Post Next Post

Popular Items