Picha: Kili Music Tour Ilivyofunika mkoani Kigoma

Wakazi wa Kigoma na vitongoji vyake wanaishuhudia Kili Music Tour iliyowakutanisha wasanii wanaofanya vizuri katika muziki nchini katika jukwaa moja uwanja wa lake Tanganyika.

Umati wa mashabiki ukiisubiria burudani katika uwanja wa Lake Tanganyika

 Hizi ni picha kutoka uwanjani hapo.

 Backstage: Christian Bella, Nikki wa Pili na Amini.
 Backstage: MwanaFA
 Mfalme wa Taarab nchini Mzee Yusuph ndiye aliufungua usiku wa Kili Music Tour.

  Amini akiwaimbisha mashabiki moja ya nyimbo zake.

  Amini akiwaimbisha mashabiki moja ya nyimbo zake.

 Mwasiti ambaye asili yake ni mkoa wa Kigoma alipokelewa kwa shangwe alipopanda jukwaani

 Mwasiti ambaye asili yake ni mkoa wa Kigoma alipokelewa kwa shangwe alipopanda jukwaani

 Mkali wa R&B nchini Ben Pol

 MwanaFA msanii wa kwanza wa Hip Hop kupanda jukwaani katika usiku wa Kili Music Tour mkoani Kigoma

 Profesa Jay mmoja ya wasanii wanaokubalika kila kona ya nchi akiwa jukwaani

 Backstage: Profesa Jay

 Mshindi wa tuzo ya mtunzi bora bendi, Christian Bella akiimba mbele ya umati wa mashabiki wa Kigoma

 Profesa Jay mmoja ya wasanii wanaokubalika kila kona ya nchi akiwa jukwaani

 Mizuka ya show iliwafanya hawa washindwe kujizuia kutoa shangwe

  Nikki wa Pili, Joh Makini na GNako Warawara waliendelea kuonyesha kuwa wao ni moja ya makundi bora kabisa ya Hip Hop kuwahi kutoke nchini

 DJ Choka akiwa kazini

 Wadau wakifurahia burudani

 Diamond na Wasafi wakiufunga usiku uliojaa burudani mkoani Kigoma

 Diamond na Wasafi wakiufunga usiku uliojaa burudani mkoani Kigoma

Wadau wakifurahia burudani

Previous Post Next Post