Picha: Serengeti Fiesta 2014 Mwanza ilivyokuwa katika uwanja wa CCM Kirumba

Lile Tamasha Kubwa Tz la Serengeti Fiesta limeanza katika mkoa wa Mwanza na wasanii mbalimbali jana August 9 waliwaburudisha mashabiki wa muziki wao katika tamasha la Serengeti Fiesta jijini Mwanza.



Miongoni mwa wasanii waliotoa burudani ni pamoja na Stamina,Madee,Dogo Janja,Jokate, Nay wa Mitego,Nyandu Tozi, Mr Blue, Diamond, Chege na Temba na wengine wengi. Hizi ni picha za show hiyo iliyofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba.

Tazam apicha hapa zaidi kujionea



Barakah Da Prince
Chege na Temba
Diamond

DJ Fetty na Adam Mchovu
































Diamond na Linah
Diamond na Linah
Diamond na Linah

Diamond na Wema Sepetu

















Image:Bongo5
Previous Post Next Post