Picha: Kili Music Tour ilivyofana Mbeya

Wakazi wa Mbeya na vitongoji vyake jana waliishuhudia Kili Music Tour iliyofanyika katika uwanja wa New City Pub na kuwakusanya wasanii wengi wakali nchini ambao kwa pamoja wakiongozwa na Izzo Bizness walizikonga nyoyo za mashabiki wao.




Tazama picha zaidi hapa































Previous Post Next Post