Picha: Pastor Myamba azawadiwa shilingi milioni 250 na gari jipya katika harusi yake

Kwa ukubwa wa zawadi aliyopewa, huenda harusi ya Pastor Myamba ikawa harusi ya staa wa Tanzania iliyofana na yenye stunts zaidi.



Muigizaji huyo wa filamu aliukimbia mji wa Dar na kwenda kufungia harusi yake visiwani Zanzibar ambako hakuishia kualika mastaa wenzie tu, bali pia zawadi alizopewa, zinatosha kuanzisha kampuni yake nyingine.





Pastor Myamba na mkewe wakiwa na zawadi yao ya fedha taslimu

Kwa mujibu wa JB aliyehudhuria harusi hiyo, Pastor Myamba na mkewe wamezawadiwa pamoja vitu vingine, gari jipya na pesa taslimu shilingi milioni 250!!



Previous Post Next Post