Wanamuziki wa Kenya wanaolipwa pesa nyingi zaidi kwa show

Wakali wanaolipwa kiasi kikubwa cha fedha zaidi nchini kenya kw shoo wako hapa,Wakati Diamond Platnumz akiwa ndiye msanii ambaye anaaminika kuwa analipwa pesa nyingi zaidi kwa sasa Tanzania, hawa ndio wanamuziki wa Kenya wanaotoza pesa nyingi zaidi wanapohitajika kufanya show.

Hii ni Top 5 ya wasanii wa Kenya wanaolipwa pesa nyingi zaidi kwa mujibu wa Gossip Juice.

1.Redsan



Hit maker wa ‘Badder than most’, Redsan ndiye amekamata nafasi ya kwanza katika orodha hii. Ili atumbuize kwenye tamasha, Redsan hutoza kuanzia Ksh850, 000 sawa na Tsh 15,446,000 kwa show moja.


2.Jaguar


Mwimbaji wa ‘Kioo’, Jaguar ni miongoni mwa wasanii wanaofanya show nyingi za nje kwa sasa, na kwa mujibu wa orodha hii, hutoza kuaniza Ksh 300,000 kwa show sawa na Tshs 5,451,530.


3.Wyre



Pamoja na collabo nyingi alizofanya na mastaa wa Jamaica akiwemo Alaine, member wa Necessary Noise Wyre aka ‘The Love Child’ hutoza sawa na Jaguar kuanzia Ksh 300,000 tu kwa show.

4.Nonini




Nafasi ya nne imekamatwa na Godfather wa Genge ambaye ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa Kenya, yeye hutoza kuanzia Ksh 200,000 sawa na Tsh 3,634,360.



5. Sauti Sol
Previous Post Next Post