Picha: Huyu ndiye mwanadada atakayeiwakilisha kenya kwenye mashindano ya BBA

Shindano Big Brother season 9 linalotarajia kuanza muda si mrefu kuanzia mwezi huu, ikiwa tayari nchi ya Kenya imeshajua muakilishi wao aitwae Ella Ciku ambaye atatua mjengo hivi punde. Ella Ciku anarun chanel yake youtube anyopost video za show zake mbali na hapo piani mwanamitindo aliyetokea kwenye tangazo la M-Shwari la Nchini kenya.

Tazama picha zake hapa..




Tazama video yake hapa akiongea na Fans wake kuhusu show yake


Previous Post Next Post