Meninah akanusha tetesi za kutoka na Diamond Platnumz ,Msikilize hapa akiongea..

Mwanadada Meninah kUPITIA XXL alifunguka na kukanusha kutoka na Super Star Diamond Platnumz na mara nyingi habari za mastaa hususa ni za mahusiano huanza kama tetesi, kisha hufuata hatua ya pili ambayo ni kukanusha, halafu baadae huja na majibu ya ‘mapenzi moto moto’. Narudia tena ‘mara nyingi’ japo si mara zote.



Kuhusu tetesi za msanii wa kike wa Bongo fleva Meninah kuwa ni ‘mchepuko’ wa hit maker wa ‘Number 1’ Diamond Platnumz hivi sasa tetesi hizo ziko katika hatua ya pili (kukanusha).

Meninah la divah amezungumza na Soudy Brown kupitia U Heard ya Clouds FM na kukanusha habari hizo kwa madai kuwa hajawahi kuwa na ukaribu na Platnumz kiasi kwamba, “Mi huyo Diamond mwenyewe hata kumshika mkono tu sijawahi”.

Msikilize hapa akifunguka zaidi;








Previous Post Next Post