Mwanadada Nicki Minaj anaendelea kuvuta umakini wa watu kuisubiria kwa hamu video ya wimbo wake ‘Anaconda’ ikiwa ni siku kadhaa baada ya kutoa kipande cha video kinachoonesha utengenezaji wake.
Jana (August 18), Nicki ameshare picha nyingine kuhusu video hiyo inayomuonesha yeye akiwa amekaa katika mtindo wa mitego tata mbele ya Drake aliyekaa kwenye kiti kama anaesubiri huduma.
Picha za wimbo na video ya Anaconda ya mwimbaji huyo ni kati ya picha zilizozua utata mkubwa kwenye mitandao ya kijamii hadi kufikia hatua ya kutaka kuondolewa kwenye Instagram.

Mbali na story za picha hizo kubam,ba katika mitandao mingi ya kijamii nakuletea picha zingine kali amabazo utakuwa umezimic kutoka kwa Nick Minaj
Zitazame hapa..
Zitazame hapa..