Picha: Hii ndio kava ya albu mpya ya Lily Wayne ' Tha Carter V '

Ni zaidi ya mashabiki kuisubiri album yenyewe ya Carter V, kitu kingine kilichokuwa kinasubiriwa ni muonekano wa cover la Carter V.



Kauanzia album ya kwanza kwenye series ya Carter, Lil Wayne alikuwa anatumia picha zake akiwa mtoto kwenye cover za album hizo. Carter V imekuwa tofauti kwasababu amechukua picha yake akiwa mtoto yupo na mama yake.



Lil Wayne amesema cover hilo ni suprise kubwa kwa mama yake zaidi ya mashabiki kwasababu hakumpa taarifa kwamba atatumia hiyo picha.
Previous Post Next Post