Nicki Minaj na Drake wazidisha ukaribu baada ya video ya Anaconda, angalia video wakiwa pamoja

Rappers wa Young Money, Drake na Nicki Minaj wanadaiwa kuwa na ukaribu zaidi hasa baada ya kuonekana pamoja kwenye video ya Nicki Minaj ‘Anaconda’.



Katika video hiyo, Nicki Minaj alionekana kumfanyia vimbwanga vya kimahaba Drake ikiwa ni sehemu ya kuinogesha video hiyo tata.

Drake na Nicki Minaj walichukuliwa kipande cha video wakifanya manunuzi pamoja katika supermarket moja huko Los Angeles huku wakitumia lugha za utani kama wapenzi hivi.

Angalia video:


Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa