Hii nidio nyimbo mpya anayokuja nayo Diamond Platnumz baada ya Mdogo Mdogo

Diamond Platnumz mara nyingi amekuwa akisema kuwa ana nyimbo nyingi ambazo amekwisha zirekodi ila bado azijafika masikioni kwa mashabiki, kwa kuzihirisha hilo Daimond Platnumz ameshare audio ya ngoma yake mpya; Ngoma inaitwa  ‘Nitampata wapi’



Kupitia ukuraasa wake wa instgramDiamond Platnmz alindika hivi

' wakati Mwingine natamanigi hata mngepata dakika moja tu ya kuskia nyimbo nilizo nazo ndani, ...😓 hii inaitwa #Nitampata_wapi? sjui kina @babutale wataitoa lini...😭 maana haipo kabisa katika list ya nyimbo zitolewazo... ila, kwakuwa nyie ni watu wangu wa nguvu nimeamua kuwaibia kidoogo, sjui watanimind!😟 #GermanyWeekEnd '





Hakuishia hapo tu aliongezea kipande kingine na kaundika hivi   'Kwa heshima yenu tu, hichi kipande cha mwisho... ( 🎶Alonifanya silali, jua kali, nimtafutie tukale, lakini wala hakujali... darling, akatekwa na wale....🎶) #NITAMPATA_WAPI? #One_Of_Unreleased_Love_Song #GermanyWeekEnd



Katika weekend hii Kundi zima la Wasafi Likiongozwa na Diamond Platnumz katika siku ya jana lilitatoa burudani ndani ya Germany
Previous Post Next Post