Nick Minaj aoa kionjo cha video yake mpya 'ANACONDA'

Mwimbaji Nicki Minaj ameachia rasmi single yake mpya ‘Anaconda’ leo (August 4) kwenye Itunes, bada ya kuvuja mtandaoni weekend iliyopita. Kupitia Instagram Minaj (31) pia ameshare kipande kidogo cha video ya wimbo huo ambayo imefanyika Jumamosi iliyopita huko Los Angeles, Marekani.



“Check out the WORLD PREMIERE video snippet of Anaconda. Now on iTunes!!! #AnacondaOniTunes Official Mastered VERSION” ameandika katika post hiyo. Itazame
Check out the WORLD PREMIERE video snippet of Anaconda. Now on iTunes!!! #AnacondaOniTunes Official Mastered VERSION
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa